Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Jumuiya ya Kimataifa ya Hazrat Ali Asghar (a.s) kwa mara ya kwanza imewasilisha na kuchambua matokeo mapya ya utafiti wake kuhusu (mchango au) jukumu la malezi na maandalizi la Mwanamke katika kufanikisha kudhihiri kwa Imam wa zama (atfs), pamoja na matokeo mapya ya utafiti kuhusu Kanzu ya Imam Hussein (a.s). Hafla hiyo ilifanyika asubuhi ya leo Ijumaa, 21 Novemba 2025, katika chumba cha ibada cha Hazrat Zahra (sa), katika Haram ya Hazrat Fatima Masoumeh (sa), kwa ushiriki wa wanawake wenye elimu na maarifa pamoja na heshima kubwa.

21 Novemba 2025 - 13:56

Habari Pichani | Uchambuzi wa Utafiti Kuhusu Nafasi ya Mwanamke katika Kuandaa Njia ya Kufufuka kwa Imam

Your Comment

You are replying to: .
captcha